@Man Like Kweks akiwa ndani ya @BITCOIN ARUSHA Hub hapa WSHA Co-working space Akiwa amevalia T-shirt yetu Spesho ya #BitcoinNiHela🧡
Hi ni zaidi ya style ni ujumbe wa mabadiriko ya kifedha!
Karibu utumbelee hub yetu ujifunze kuhusu #Bitcoin, uhuru wa kifedha na mengi zaidi
📍Mega Complex floor ya Saba (WSHA CO-working space).
#bitcoinniHela #BitcoinArusha⚡️🧡
#POWA255⚡️

